Professor Jay feat Diamond Platnumz - Kipi Sijasikia (Official Music Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 апр 2025
  • Music Video by Professor Jay featuring Diamond Platnumz performing "Kipi Sijasikia", The music Video was shot in Dar es Salaam, Directed by Adam Juma & Audio Produced by P funk of Bongo Records.
    Connect with Professor Jay on Social Media:
    Instagram: / professorjaytz
    Facebook: / professorjaytz
    Twitter:x.com/Professo...
    (c) Professor Jay.All Rights Reserved.
    #Professorjay #DiamondPlatnumz

Комментарии • 3,9 тыс.

  • @denniskipngetich1842
    @denniskipngetich1842 Год назад +223

    Washikaji wengine feki! I felt that ! Anyone 2024?🇰🇪

    • @ramadhanmohamed7348
      @ramadhanmohamed7348 7 месяцев назад +1

      🇰🇪

    • @RayswillKe
      @RayswillKe 7 месяцев назад +2

      Kenya ✌️

    • @OkiriaRobert-g2c
      @OkiriaRobert-g2c 5 месяцев назад +2

      Yeah, am here brother. I just like this song because of professor J.
      His rap was very meaningful brother.
      I once lived in Dar -es -salaam for a good number of years but am now back to my country, Uganda.
      Welcome to Kampala- Uganda.

    • @tungamary
      @tungamary 4 месяца назад +1

      Here I am👌

    • @danwafula4154
      @danwafula4154 10 дней назад

      together

  • @tedngowa2559
    @tedngowa2559 3 месяца назад +250

    Kama uko hapa in 2025 nyosha kidole.

  • @lamescopanga2174
    @lamescopanga2174 Год назад +588

    Kama bado unaangalia hii ngoma 2024 gonga like Twende sawa❤❤

  • @elishamacharia8007
    @elishamacharia8007 2 года назад +247

    Still 2023, and I cherish the song, great inspiration and iconic music. For those who will see in future, embrace great architecture in music rhythm and composition and surely the generation will live to listen to your colourful lyrics.

  • @andrewmule47
    @andrewmule47 2 года назад +195

    2023 still a rocking,
    Great music never get old,
    A lifetime master piece

  • @Lacopabinsimba
    @Lacopabinsimba Год назад +46

    Nani ana skia huu wimbo 2024 kama una skiliza 2024 gonga like hapa😅❤

  • @ramaahke512
    @ramaahke512 3 года назад +136

    Unae soma comments huku una watch najua hatujuani ila naomba mwenyezi mungu akuzidishie maishani 🙏🙏🙏❤️😍💋

  • @kingsendakartel2240
    @kingsendakartel2240 Год назад +66

    I don't think anyone will be close to prof Jay rapping style, this guy was and still a genius

  • @mccollocomedy
    @mccollocomedy Год назад +49

    Wale tuna watch 2024 mikono juu🙌

  • @eustaceomtatah4790
    @eustaceomtatah4790 2 года назад +92

    Immediately they start singing you can feel and see their bolstering confidence, the way prof Jay opens up and how Diamond steps forward like a real gangsta.
    These 2 are ORIGINALS.

    • @aneviusbenedictor821
      @aneviusbenedictor821 Год назад +1

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊ok😊

  • @evanceayaka3116
    @evanceayaka3116 4 года назад +164

    The Professor never disappoints. Been listening to this since 2014, it never gets old......a masterpiece and one of the realest songs invoiving Diamond.

    • @kenyantv469
      @kenyantv469 3 года назад

      Please Check out and support ...Mkenya Music official

  • @EmmanuelSakwa-x4p
    @EmmanuelSakwa-x4p 4 месяца назад +2

    The undisputed king of rap music! Taifa kali la Tanzania, East Africa and beyond. Maximum respect to Professor J. Wanatangaza amani huku wameficha mapanga...wanaitwa watakatifu kumbe ndo mavampire! That is EXACTLY how many Africans are like.

  • @allenmagafu9198
    @allenmagafu9198 3 года назад +20

    Wimbo wenye mafunzo makubwa katika maisha yetu. Mungu akubariki sana Professor Jay.

  • @jafaromar3749
    @jafaromar3749 2 года назад +1381

    Kama bado unaitazama nyimbo hii 2023 gonga like twende sawa 💕🏦

  • @AntonyAudax
    @AntonyAudax Год назад +55

    Gonga like 2024 kama bado tuko pamoja kutazama ili chupa ❤

  • @HIRBOSALESA
    @HIRBOSALESA Год назад +90

    WAPI LIKE YA MWENYE AMELIDWA NA MWENYEZI MUNGU MPAKA 2024

  • @andremutua5996
    @andremutua5996 Год назад +6

    2 Corinthians 3: 17 Now the Lord is Spirit: and where the Spirit of the Lord is, there is liberty. 18 But we all, with open face beholding as in a glass the glory of the Lord, are changed into the same image from glory to glory, even as by the Spirit of the Lord Amen .

  • @thomaswambura200
    @thomaswambura200 10 месяцев назад +195

    Tuliorudia kutazama huu wimbo 2024 gonga like

  • @samid090
    @samid090 6 лет назад +27

    Sio kila jogoo ikiwika ni asubuhi 👌👌👌Mungu walaze pema waliosemwa wakajiua, ingiwa wote tunapita na amini maisha ni hatua-:😥😥😥 maneno ya watu sumu yanaponya na ya naua, mungu nipe ujasili mpaka siku ukinichukua, wape nguvu wale wote waliokata tamaa, maneno ya watu yanaleta hila na mzozo kwenye mitaa -: u are a legend

    • @awadhali212
      @awadhali212 4 года назад

      Wanatangaza amani huku wameficha mapanga, pro j you are the goat

    • @kloppmaniaynwa7977
      @kloppmaniaynwa7977 4 года назад +1

      A legend of his own

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 4 года назад

      Walisema Nina ukimwi kwa kuwa nilikonda ghafla

  • @energetic_macz02
    @energetic_macz02 3 месяца назад +1

    Unaehukumu ni wewe Mwenyezi Mungu naomba unilinde. 🙏

  • @margretadhiambo9534
    @margretadhiambo9534 4 года назад +103

    Although this song was sang so many years back,the message it contains changes the world professor jay to the world lyrics well organised

  • @youngforever2869
    @youngforever2869 5 лет назад +272

    Bunduki haiui watu Ila watu ndio wanaua watu. Kama ni ukweli gonga like #2019 nko ndaaani

  • @lucymutuamulago2092
    @lucymutuamulago2092 2 месяца назад +1

    Such a deep lyrics. Wenye hukumu kweli ni Mungu...

  • @mosesmuhane
    @mosesmuhane Год назад +9

    I was still young when this song was released 😢. I used to like it but now that am a grown man I understand each and every word the man said !!!

  • @erastusnjuguna
    @erastusnjuguna 8 лет назад +357

    WAITING DIAMOND CHORUS... NANI MWINGINE?/
    Unayehukumu ni wewe Mwenyezi Mungu naomba unilinde
    Kwenye hii vita milele nami nishike mkono nishinde
    Unayehukumu ni wewe mwenyezi Mungu naomba unilinde
    Kwenye hii vita milele mwanachoka daima nishinde

  • @peteramalemba4124
    @peteramalemba4124 4 месяца назад

    Kuna ujumbe ndani ya huu Ngoma,can't stop listening to it🙏🏻

  • @johnanes3295
    @johnanes3295 7 лет назад +83

    As a hip-hop die hard the beats are perfect over a tight flowing lyrics by Prof and Diamonds voice is just like the cream of the crop

  • @ratanyaNtarangwi
    @ratanyaNtarangwi 7 лет назад +52

    I always play this song just to hear professor jay say, "nilikonda wakasema ni ukimwi."

  • @CosmasOmweri-uq1fe
    @CosmasOmweri-uq1fe 16 дней назад

    Tunawaita watakatufu kube ndio ma vampire 😢😢🎉🎉🎉🎉🎉that line 😮

  • @josebrenloe
    @josebrenloe 10 лет назад +23

    Prof is Dope.....
    "Washkaji Feki...."
    Wanacheka kwa Machoni,Wanaroga Moyoni....!!"
    Had My Own Share Of Those....!!

  • @vanessajames1567
    @vanessajames1567 4 года назад +6

    Unaehukumu ni wewe mwenyezi Mungu naomba unilinde Diamond Mungu atakulinda

  • @danielmwai8909
    @danielmwai8909 6 месяцев назад

    Unaye hukumu ni wewe
    Mwenyezi Mungu naomba unilinde 🙏

  • @georgebyaombe3422
    @georgebyaombe3422 4 года назад +21

    Hii ni bonge la message🗣🗣🗣
    Salute kwako professor jay 🧏‍♀️ 2014.......2099 nipe like kama tutakuwa pamoja

  • @mwalimurobsontarimo7491
    @mwalimurobsontarimo7491 5 месяцев назад +7

    Like kama umekuja baada ya kusikia profesa j akisema diamond alikuwa analia wakati wanaanda wimbo

  • @nindemeshabourhan
    @nindemeshabourhan 9 месяцев назад +26

    Kama bado unaitizama nyimbo hii 2024 gonga like 🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿

  • @kevinmutunga8403
    @kevinmutunga8403 2 года назад +8

    2023
    Professor Jay to ē wrld

  • @jibrilibrahim8103
    @jibrilibrahim8103 2 года назад +12

    2023 mungu atulinde sisi wote🙏🏾

  • @salimmussa9719
    @salimmussa9719 9 лет назад +50

    This happens only when two kings meet. True king of hiphop East africa featuring true king of bongofleva and pop east africa.

  • @kimj2554
    @kimj2554 4 года назад +21

    Hii ngoma inaeleza mengi kuhusu Diamond kama msanii, here in 2020 and appreciating from Kenya

  • @ayamontana7418
    @ayamontana7418 6 месяцев назад +2

    Kama utamkumbuka jay ebu omba nikuone🙏🙏

  • @njirukelvin5408
    @njirukelvin5408 7 лет назад +196

    2018 still here ..
    Tunawaita watakatifu kumbe ndio ma
    VAMPIRE

  • @shabs221
    @shabs221 4 года назад +6

    2021 january 20th on wednesday. Niko hapa Bado, ALLHAMDULILAAH. Ni kwa ajili ya Allah nipo hai. May God bless you guyz to the fullest. Barikiweni zaidi ya sanaaaa.
    "Riziki hamuezi ziba labda tu muicheleweshe."

  • @yasinilusa465
    @yasinilusa465 3 месяца назад +1

    P funck majani alikuwa noma 💯 aise bro Big up ❤️❤️❤️
    Kisha leo anakuja mchamba moja nakujitangaza kama yeye ndo the one tz na izo amapiano😂

  • @victorkemei1587
    @victorkemei1587 Год назад +22

    Tuko 2024 na bado tuzikiza big up to🇰🇪🇰🇪mkanipe likes🇹🇿🇹🇿

  • @buildertanzania4801
    @buildertanzania4801 5 лет назад +13

    Ebwanaaeee tumelala wengi tumeamka kidogoo kamaa nawee umeamka mpka sasa uko na afya njema toka goma lilipoachowa ebu tujuane kwa like MWAKA 2019

  • @Coachsamwel
    @Coachsamwel 8 месяцев назад +1

    Its 2024 but this song inanikumbusha wayback 2014 huko ... daah maisha ni safari
    Asante kwa wimbo huu prof.J & Diamond
    It was one of my best song kwenye hustle zangu

  • @nortegalimos1791
    @nortegalimos1791 2 года назад +34

    2023 still listening to this wonderful song. Professor sempre é professor, one love from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @kipkirui2681
    @kipkirui2681 2 года назад +15

    Outta Kenya 🇰🇪.. Proff is a legend in my heart ❤️

  • @MettyBeeTV
    @MettyBeeTV 7 месяцев назад

    Otile to the world 🌎
    Best vocalist in Africa 🔥🔥
    Tujivunie wakwetu jamani🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @elvisondijo3248
    @elvisondijo3248 Год назад +70

    Wale wako hapa 2024 tujuane kwa likes

  • @warrensantana1570
    @warrensantana1570 4 года назад +8

    Kipi Sijasikia ni ngoma.ambayo inanikumbusha rafiki yangu ambaye kwa Sasa ivi Ni marehemu alisikia nikiimba darsani akaniambia tukitoka shule kuelekea nyumbani tutaenda mpaka kwao anionyeshe video ya hii ngoma,,huwa nikisikia tu hi ngoma ni Kama namuona vile yaani#RIP broo
    #Music with.memories🙏🙏

  • @Edrissaa
    @Edrissaa 4 месяца назад +1

    Mashambi wa hii nyimbo kutoka msumbiji tukutane hapa 🇲🇿🇲🇿🇲🇿 2024

  • @KifaruDirector
    @KifaruDirector Месяц назад +46

    Tuko wangapi 2025 hapa?

  • @rickyshiku2435
    @rickyshiku2435 Год назад +6

    I love how diamond acknowledged this legend and collaborated with him... respect your OG and understand the game from those who've been there for so long! #from Kenya

  • @sylvanosalumu5840
    @sylvanosalumu5840 7 месяцев назад

    Bunduki aiuwi watu ila watu ndio wanauwa watu,Prof J you're the real heavy weight kaka mkuu👊

  • @somalisujuu2592
    @somalisujuu2592 2 года назад +34

    For those who will be here in 2040 just take this as a reminder 🙏
    Professor J was number one Hip-hop artists in East Africa.

  • @allenmanzi9869
    @allenmanzi9869 9 лет назад +11

    I salute you Joseph and Naseeb. Keep it up. We Tanzanians are so proud of you Guys.
    Stay blessed.

  • @cynthiambugua6458
    @cynthiambugua6458 4 года назад +6

    Wazi kama zamani mob love from Nairobi Kenya 🇰🇪😍🇰🇪😍

  • @Loismo
    @Loismo 11 месяцев назад +5

    2024,Mgodi unaotembea Professor Joseph Haule.

  • @burunamwita1207
    @burunamwita1207 6 месяцев назад

    Hii ngoma ni kama rhumba...haizeeki...ina ujumbe mzito mno..ubarikiwe professor Jay

  • @Stvananda
    @Stvananda 4 года назад +25

    This jam has inspired so many people 💯
    🇰🇪

  • @bonfacekaruga1885
    @bonfacekaruga1885 3 года назад +27

    Prof jay was n still the G.O.A.T (Greatest Of All Times)
    Seems he shaped diamond

  • @ndatabayerinnocent8619
    @ndatabayerinnocent8619 4 месяца назад

    Nakupenda sana Prof. Jay....From Rwanda
    Mungu aendelee ku kulinda basi usiende bado hatujaonana macho kwa macho❤

  • @benardsnell6872
    @benardsnell6872 3 года назад +38

    Whenever Prof jay is involved that's obvious a hit and 🔥🔥

  • @Mavoh_Alkaline
    @Mavoh_Alkaline 4 года назад +405

    Kama umeitazama mwaka huu wa 2021 ✔️

  • @Pastorbarakamwanjala
    @Pastorbarakamwanjala 5 месяцев назад +2

    2024 ..still here. Namalizia mwaka kwa wimbo huu huku nikimwomba MUNGU aniepushia mbali kila ubaya.

  • @danielshonde5497
    @danielshonde5497 5 месяцев назад +6

    Kama umekuja kuchechek huu wimbo baada ya professor j kukiri huu wimbo ndo wenye view nying like kidg

  • @berylbonn9015
    @berylbonn9015 2 года назад +91

    This song uplifts me so much thank you guys love from Kenya 🇰🇪

  • @akapella_illest8014
    @akapella_illest8014 6 месяцев назад

    Waliongea dem wangu alipotoroka......kipi sijasikia..."Hits me different.

  • @evancykiputa2046
    @evancykiputa2046 3 года назад +59

    Believe or not, this is the most beautiful chorus from mond

  • @frankopiyo1576
    @frankopiyo1576 5 лет назад +922

    Kama umeitazama hii mwaka 2020 gonga like yako hapa

  • @yusuphemanuel9711
    @yusuphemanuel9711 7 месяцев назад +1

    Tumuombee Prof jay arudi kwenye game pengo lake ni kubwa sana

  • @Wyseuncle
    @Wyseuncle 8 лет назад +10

    this is a perfect collabo .....proffesor j doing what he does best on those bars na diamond killed the chorus,producers shud be able to know who rhymes with who in what kind of beats.....all the way from mombasa kenya big up brothers

  • @stanleyandrea5153
    @stanleyandrea5153 6 месяцев назад +131

    Kama Bado unaitazama hii ngoma 2024 gonga LIKE♥️

  • @JeanPaulBarungu
    @JeanPaulBarungu 5 месяцев назад

    Welcome again Mwalimu Jay... Tokeya DRC nakubali kama mungu yupo high , kuona umu rudi mzima

  • @KevoJuice
    @KevoJuice 10 лет назад +99

    Professor Jay is Tanzania's Best Lyricist....... top story teller

  • @ravenmwaura7583
    @ravenmwaura7583 7 лет назад +18

    whose listening in 2018...Am here 4 mbunge prof Jay...+254 tunakupenda

  • @Ilhankhatibu
    @Ilhankhatibu 5 месяцев назад

    Kama bado tuna endelea kusikiliza huu mziki 2024.......

  • @abdithuku1892
    @abdithuku1892 8 лет назад +37

    huu muziki hunipa nguvu maishani

  • @Johnshei254
    @Johnshei254 5 месяцев назад +3

    Professor jay the king of bongo rap

  • @GeradinaJohn-xh8pw
    @GeradinaJohn-xh8pw 6 месяцев назад

    Ila Kwa kurap tu professor Jay shikamoo🙋

  • @KamachumuRepublic
    @KamachumuRepublic 10 месяцев назад +17

    Kama unatazama Nyimbo hii 2024 gonga like twende sawa WATCHING FROM KAMACHUMU REPUBLIC

  • @urbanriftcrowns
    @urbanriftcrowns 4 года назад +187

    wow 2021 and still has a lot of meaning. I still love this song

  • @ishimwewilly1365
    @ishimwewilly1365 Год назад +2

    We here to this justice you did to this music 😊😊😊😊

  • @adamcode2185
    @adamcode2185 6 лет назад +6

    Who is with me in 2019?? Mungu walaze pema walosemwa wakajiua 😘😘😘

  • @megirisonoya3239
    @megirisonoya3239 3 года назад +6

    Hii ndio aina ya muziki jamii inaitaji💯

  • @JumaRamadhan-l4b
    @JumaRamadhan-l4b 5 месяцев назад +1

    hakika jamaa mungu amekubaliki kipaji kikubwa yani kila nikijitahidi kuku linganisha na baahadhi ya wana muziki nabaki kukupa no moja
    we ninoma

  • @joanashiono5933
    @joanashiono5933 4 года назад +14

    When diamond was like fine wine,,,, achana na hizi za otimbi,,,, natimbilio🤣🤣

  • @erickmaina6704
    @erickmaina6704 10 лет назад +4

    Proffesor deep lyrics there ...wanafinya kuleta Amani huku nyuma wakishika mapanga. ... mad love prof jay

  • @jesuslove2205
    @jesuslove2205 8 месяцев назад +2

    Prof haujawahi zingua toka chemsha bongo nakusikiliza

  • @gosplevibetvtz
    @gosplevibetvtz 17 дней назад +14

    Tunao tazama 2025 tujuane 😂😂❤❤❤

  • @gicheru100
    @gicheru100 2 года назад +6

    The song was and still inspirational... Thanks to both of u prof n diamond.

  • @edwinmoh-b2s
    @edwinmoh-b2s 7 месяцев назад +1

    Hii n ya zama lakin ni Moto KAZI powa brothers napenda Sana inaniguza roho Sana manzee❤😅

  • @sandry254
    @sandry254 4 года назад +4

    Just because of mr professa....mashabiki wako baba tunaumia...mistari yako moto...still in 2020 listening.....big time talent

  • @mastajabudekula4828
    @mastajabudekula4828 2 года назад +4

    Best rapper all the time in TZ.proffessor Jay 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @fellimapesa
    @fellimapesa Месяц назад +2

    Kipi sijaskia 🔥 🔥

  • @IrankundaDonasian
    @IrankundaDonasian 3 месяца назад +15

    Kama bado unaitazama nyimbo hii 2025 gonga like hapa❤❤

  • @wildrapwildrap3256
    @wildrapwildrap3256 4 года назад +54

    Am from SOUTH AFRICA BUT THIS SONG EVEN ON 2020 STILL DOING THINGS FOR ME

  • @Zulayfa-x1k
    @Zulayfa-x1k Месяц назад +7

    Unae hukumu niwewe ❤❤2025🎉❤

  • @VenanceGilbert
    @VenanceGilbert 10 лет назад +5

    Video iko vizuri sana mpaka ujumbe kiufupi mmefanya vizuri big up kwa Platnumz coz ameitendra haki chorus. Big up Heavy Weight MC...